
umeinstall window na ukashindwa kuiondoa ile ya zamani na kila ukiwasaha kompyuta inatokea hivi
AU HIVI
twende pamoja ili ujue njia rahisi ya kuiondoa window moja ambayo huiitaji
JINSI YA KUIONDOA HIYO AMBAYO HUIITAJI
1. Bofya kitufe cha windows pamoja na R (Win+R) au fungua start menu kisha bofya "Run"
2. itafunguka dialog box ya run, andika neno "msconfig" bila "" kisha bofya ok
3. itafunguka dialog box "system configuration utility"
kama unatumia windows xp chagua "boot.ini"kama unatumia later versions chagua kama hivi hapa chini.
4. chagua window ambayo huitaki kisha delete, baada ya hapo apply, na click ok
5. kompyuta...