umeinstall window na ukashindwa kuiondoa ile ya zamani na kila ukiwasaha kompyuta inatokea hivi
AU HIVI twende pamoja ili ujue njia rahisi ya kuiondoa window moja ambayo huiitaji JINSI YA KUIONDOA HIYO AMBAYO HUIITAJI 1. Bofya kitufe cha windows pamoja na R (Win+R) au fungua start menu kisha bofya "Run" 2. itafunguka dialog box ya run, andika neno "msconfig" bila "" kisha bofya ok 3. itafunguka dialog box "system configuration utility" kama unatumia windows xp chagua "boot.ini"kama unatumia later versions chagua kama hivi hapa chini. 4. chagua window ambayo huitaki kisha delete, baada ya hapo apply, na click ok 5. kompyuta itaakuuliza kama unataka kurestart au lah, finally, nenda kwenye folder lilikuwa na windows ya zamani (uliyoifuta)... mfano D:/windows.old (mwenyewe utakuwa unajua lilipo) kisha delete hilo folda. baada ya hapo restart pc yako na itakuwa ina window moja tu Kama umejifunza jambo jipya, au imekusaidia kiaina, bofya SHARE #sayay theComputerGUY
3 comments:
Aaaaa unibaba
NAKUKUBALI SANA MY FRIEND
karibu sana
Post a Comment